
TNJ Business Challenge:
Tumia mfano (case study), au hadithi yako mwenyewe, kutoa ushauri au kuhamasisha mtu mwenye wazo: anawezaje kubadilisha wazo hilo kuwa biashara/huduma na kupata mteja, mauzo ya kwanza, au kipato chochote kupitia huduma/biashara hiyo?
This challenge has ended
Entries closed on 30 October 2026 at 23:59 (Tanzania time). No new entries are accepted. The leaderboard stays open so everyone can see the results.
Challenge rules
1. Nani anaweza kushiriki: Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 35 wanaoishi Tanzania. Kushiriki ni bure kabisa. Inaruhusiwa kutuma jibu moja tu kwa kila mtu; jibu lako la mwisho utakalotuma kabla ya mwisho wa muda ndilo litakalohesabiwa. 2. Jibu lako: Tumia mfano, mtu halisi (case study) au hadithi yako mwenyewe kutoa ushauri. 3. Zawadi: Kuna zawadi mbili, kila moja ni TSh 100,000. o Zawadi ya kwanza (Business Challenge Prize): Iko wazi kwa kila mtu, na itajajiwa na Judges toka TNJ. o Zawadi ya Pili (Community Choice Prize): Ni kwa ajili ya members wa Community ya TNJ au EBI (Empowerment Bridge Initiative) pekee. 4. Uchapishaji: Majibu yote yaliyoidhinishwa yatachapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa TNJ kama sehemu ya kujifunza, kwa mtiririko ule ule uliotumika kuyapitisha. 5. Idhini yako: Kwa kushiriki mashindano haya, unakubali kwamba TNJ inaweza kuchapisha jina lako, picha yako, na jibu lako. Namba za simu na barua pepe hazitachapishwa.